mkurya
Ngoja nitaweka inayohusu Kirua Vunjo, Kilema, Masaera, Mandaka na Uchiraweka ya kabila lako tubalance!

Jamni hii ni kweli kabisa, dada zetu wa kichaga hamjui kitu kabisa.

Nashangaa mmekulia mjini, mmejichanganya lakini badooo kabisa!
waambie bwana wala hatuna shidaMbona mwenzenu nna mchagga lkn namfaudu ile mbaya? nyie inakuwaje mnalalamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiika!
bebii tena wewe ndio unaonekana hujui kukata mauno kabisa!!waambie bwana wala hatuna shida
Na nijuavyo JF wapo wengi sanaaaaaa!!!
mmesema mengi lakini sijui kama kwasasa hivi kuna mtu asiyependa pesa na tukienda kwenye sekta husika za hao wanaofanya ngono kwa pesa tukawauliza kabila kwa sasa hivi tutawakuta hata wamasai wakati zamani wamasai walikuwa ni mkuki mlangoni mambo yanaendea but now shee bila pesa mi sikupi
but nachotaka kukushauri wewe kaka mwenye mchumba asiyetakwa na ndugu zako ni vyema ukasikiliza moyo wako wewe ndio mwenye maamuzi na wewe ndio unamjua msichana wako kama unaona huwezi kuendana nae ni bora ukamwambia na kama unaona mnaweza kumudu maisha yenu na watoto wenu wajao usijali cha baba wala mama wewe oa maisha yenyewe haya hakuna mtu atakaye kuja kukulelea watoto wako ukiwa umetoweka ni nyie kuweka mipango mizuri ya baadae.
sina tu wa kumkatiabebii tena wewe ndio unaonekana hujui kukata mauno kabisa!!
Mbona mwenzenu nna mchagga lkn namfaudu ile mbaya? nyie inakuwaje mnalalamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiika!
Mbona mimi nipo Available? hebu nipe vigezo vyako..lakini inabidi kwanza nikupeleke training ya mambo ya kitandanisina tu wa kumkatia

sasa mbona tupo kwenye gurudumu moja? na sababu zao haswa ni nn, na ni mchaga tu ndio hawataki au wanataka uoe kabila lako tu?
si nilitafuta humu jamvini mkanikataa sitaki tenaMbona mimi nipo Available? hebu nipe vigezo vyako..lakini inabidi kwanza nikupeleke training ya mambo ya kitandani

Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!