The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
we kabila gani kwani?ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia,tatzo ni kabila lake,yaani ndugu,jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaelewek,nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!
hii 2011 jamani, hiyo familia bado ipo kwenye miaka ya 47.......na vigezo walivyokupa vya kutokuoa mchaga ni vipi...kazi kweli kweli kwenye jamniii zetu.
Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!
Sredi za wachaga sasa zimezidi!
gogoo gogoo? pesa mbele mapenzi mwaka kesho kibobo kikijaa helana cc dada zenu wanatuita magogo kwenye yale mambo, kazi kweli!
labda wameona mafahali wawili hawakai zizi moja? mambo ya kunywea chai wodini daily mmmmmmmmmh<br />
<br />
mkurya
Jamni hii ni kweli kabisa, dada zetu wa kichaga hamjui kitu kabisa.na cc dada zenu wanatuita magogo kwenye yale mambo, kazi kweli!
gogoo gogoo? pesa mbele mapenzi mwaka kesho kibobo kikijaa hela