"Siku za mwisho wataibuka manabii wa uongo"
Hawa ndio Bwana YESU Kristo aliwasema katika Biblia kuwa Watakuja Madabii wa Uongo nao watadanganya watu watu wengi na ndio hawa tunao waona kwa sasa .
Mathayo: 15Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.