fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
- Thread starter
-
- #61
huna hojaShika hivyo hivyo unuse uone halafu mbaya inavyotoka.
Mwenzako ananyonya makengele yako yenye harufu mbaya halafu baadae unamla denda Umelamba uchafu wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
goodHatukuendelea kwa sababu fulani fulani, lakini mpaka leo tukiwasiliana anasema hajawahi kupata mtu anayejua kunyonya kama mimi
malaya yukoje?Broo kama ukioa malaya utagongewa tu, hata um nyonye damu kama ni wa kupigwa nje atapigwa tu
Mi naona kila mmoja awajibike mambo ya kunyonyana sio mazuri tupo uchumi wa Kati wanawake wasiwe golikipa kila mmoja azalishe kukuza uchumi wa taifaKwa wanandoa wanaopenda kunyonyana sehemu za siri ni muhimu sana, tena huimarisha ndoa kabisa, hivyo nyonyaneni tu, mradi mkubaliane.
Vijana ni hovyo sana humu ndani..πππππHii vita ya kimnya kimnya haaaah, mmoja anapinga mwengine anahamasisha
Kuna kutofati kati ya ushauri / mawazo ya daktari na ushahidi wa kitafiti .ELEWANgono ya mdomo chanzo kansa ya Koo
"Kansa inayoongoza kwa Tanzania ni Kansa ya Shingo ya Kizazi. Kuna baadhi ya Kansa zinasababishwa na kirusi anayeitwa HPV. Kirusi huyu anaambukizwa kwa njia ya ngono kama vile mtu anavyopata HIV. Huyu HPV ameonekana kushirikishwa kwenye Kansa ya Shingo ya Kizazi ambayo inaoongoza hapa Tanzania...www.jamiiforums.com
kunyonyana ni mapenzi sio uchumiMi naona kila mmoja awajibike mambo ya kunyonyana sio mazuri tupo uchumi wa Kati wanawake wasiwe golikipa kila mmoja azalishe kukuza uchumi wa taifa
Bora nipate UTI kwasababu nimefuata matumizi ya asili.sasa mkeo akiugua uti ni dhahiri kuwa na wewe mumewe unayo
Ingekuwa hivyo basi taulo lisingechafukaKwani huogi