Habari za mchana watanzania wenzangu.Ninataka kununua bidhaa kwa mtandao.Ninataka kujua jinsi ya kufanya taratibu hizo.Pia ninataka kujua kuhusu kodi zozote kama zipo.Vitu ninavyotaka kununua ni vitu kama simu na camera.Tafadhalini kama huna namna ya kunieleza au jujui kitu kaa tu kimya tusijaziane tu meseji za pumba zisizo na msaada