Kununua ticket ya ndege kabla ya safari

Kununua ticket ya ndege kabla ya safari

Diana Bx

Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
17
Reaction score
3
Wasalaam,

Wanajukwaa naomba kujua utaratibu wa kulipia ticket ya ndege kabla ya safari ikoje kwa shirika la ndege la fastjet. Nataka kusafiri mwezi wa3 kutoka Arusha kwenda Dar, pia bei za ticket 2016 zikoje?
 
KWASASA NI LAKI NA KUMI MPAKA MWEZI WA NNE,NIMEKATA JANA NA NINASAFIRI TAR 15MACH
 
Wabongo kweli tunamatizo.
Si uende apo cordo spring hotel kama uko arusha ndo ofice zao zipo
 
Back
Top Bottom