Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,776
- 16,209
story yako inafanana na yule wa rwandaAloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
Yupi huyo kakastory yako inafanana na yule wa rwanda
🤣Duh! Hiko kichwa cha habari wewe ndo ume edit au mod
Attention to deals
AsantePole sana mkuu
Nimejifunza kitu hapaUlitolewa ushauri wa kibaharia humu ndani.
Ukienda ugenini, na ukachukua mwanamke; chukua vyumba viwili, kimoja weka vitu vyako vyote vya maana, funga nenda kalale na mwanamke chumba kingine.
Ulitakiwa umuoeUmenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.
Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.
Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".
Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
Kabisa alikuwa mtamu sana hadi nikapitiwa na usingizi kushtuka asubuhi demu hayupoMwasi kitoko alikutoka ukiwa umetokoka na kutepeta 😂😂😂😂
Mademu wa congo DRC wanawajua Watanzania kuwa ni wepesi kuibiwa hasa ukiwa mgeni, pia wabongo usingizi tunalala sana, pia mademu wa congo DRC wanapewa cover na askari wao ni michongo. Una afadhari angekusingizia umemla fasi ya nyuma kwa force ni nyoko wale mbwa.Kabisa alikuwa mtamu sana hadi nikapitiwa na usingizi kushtuka asubuhi demu hayupo
Daah, mbona umefika mbali sana boss.Ulitakiwa umuoe
Wadada bhana[emoji1787][emoji1787] mnafikiri kwa mwanaume kamili kutulia na mwanamke mmoja ni rahisi eeeee.[emoji848][emoji848][emoji848]Ndiyo utulie na mkeo.....hakuna jipya duniani
Umenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.
Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.
Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".
Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
🤣Wadada bhana[emoji1787][emoji1787] mnafikiri kwa mwanaume kamili kutulia na mwanamke mmoja ni rahisi eeeee.[emoji848][emoji848][emoji848]
Kifuko mninginio kikisha jaa petrol lazima gari iwake mkuu .