Dansel JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 249 Reaction score 59 May 6, 2012 #1 wakuu ni halali kununua rav4 ya 2000 mileage: 80000 kms, kwa milioni 24
O One Man Army JF-Expert Member Joined Dec 27, 2011 Posts 236 Reaction score 34 May 6, 2012 #2 mill 12 ndio halali yake.
Dansel JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 249 Reaction score 59 May 6, 2012 Thread starter #3 One Man Army said: mill 12 ndio halali yake. Click to expand... mkuu wapi naweza pata hii kitu kwa hii bei, maana kuna mtu anataka kuniuzia kwa 24 mil
One Man Army said: mill 12 ndio halali yake. Click to expand... mkuu wapi naweza pata hii kitu kwa hii bei, maana kuna mtu anataka kuniuzia kwa 24 mil
S sithole JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 306 Reaction score 116 May 6, 2012 #4 kwa nn usiagize?uk zipo nyingi tuu!ingia Auto Trader UK - Used cars for sale hapo kwenye code number ingiza SW1X9NU.then unachagua rav4 tani yako!ya mwaka 2003 unapata kwa pound 2,500
kwa nn usiagize?uk zipo nyingi tuu!ingia Auto Trader UK - Used cars for sale hapo kwenye code number ingiza SW1X9NU.then unachagua rav4 tani yako!ya mwaka 2003 unapata kwa pound 2,500
C collezione JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 352 Reaction score 179 May 8, 2012 #6 Dansel said: mkuu wapi naweza pata hii kitu kwa hii bei, maana kuna mtu anataka kuniuzia kwa 24 mil Click to expand... Sikulaumu ndugu. WaTz wengi hatuna exposure ya manunuzi. Sio kwenye magari tu, hata kwenye electonics, home appliance, simu, nguo nk Hiyo gari huwezi nunua milioni 24 wakatu imeshatumika na yeye ameshaitumia tena. Yani unanua gari same price alivyonunua yeye??? Note: jinsi gari inavyokuwa na users wengi. Price also should go down (depreciation).
Dansel said: mkuu wapi naweza pata hii kitu kwa hii bei, maana kuna mtu anataka kuniuzia kwa 24 mil Click to expand... Sikulaumu ndugu. WaTz wengi hatuna exposure ya manunuzi. Sio kwenye magari tu, hata kwenye electonics, home appliance, simu, nguo nk Hiyo gari huwezi nunua milioni 24 wakatu imeshatumika na yeye ameshaitumia tena. Yani unanua gari same price alivyonunua yeye??? Note: jinsi gari inavyokuwa na users wengi. Price also should go down (depreciation).
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,451 Reaction score 4,655 May 8, 2012 #7 unatupia 24 kwenye gari wakati ni mtaji wa kuzalisha over 200k a day?
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,866 May 8, 2012 #8 Mlachake said: unatupia 24 kwenye gari wakati ni mtaji wa kuzalisha over 200k a day? Click to expand... Haya mawazo ni yale ya kinjaa njaa sana
Mlachake said: unatupia 24 kwenye gari wakati ni mtaji wa kuzalisha over 200k a day? Click to expand... Haya mawazo ni yale ya kinjaa njaa sana
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 May 8, 2012 #9 Dansel said: mkuu wapi naweza pata hii kitu kwa hii bei, maana kuna mtu anataka kuniuzia kwa 24 mil Click to expand... Ni old model au?
Dansel said: mkuu wapi naweza pata hii kitu kwa hii bei, maana kuna mtu anataka kuniuzia kwa 24 mil Click to expand... Ni old model au?
Arvin sloane JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 996 Reaction score 204 May 8, 2012 #10 mi rafiki yangu kanunua mil. 8 Rav 4 L. ya mwaka 2000 milango mitano.
andishile JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,429 Reaction score 522 May 8, 2012 #11 angalia pia mtandao unaitwa www.tradecarview.com,au Japanese Used Cars, Vehicles: Sale+Export | JapaneseVehicles.com yote ya japan bei ni nzuri sana,magari yapo mengi sanasana,maelf kwa maelf.
angalia pia mtandao unaitwa www.tradecarview.com,au Japanese Used Cars, Vehicles: Sale+Export | JapaneseVehicles.com yote ya japan bei ni nzuri sana,magari yapo mengi sanasana,maelf kwa maelf.
kinyoba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,267 Reaction score 720 May 8, 2012 #12 Arvin sloane said: mi rafiki yangu kanunua mil. 8 Rav 4 L. ya mwaka 2000 milango mitano. Click to expand... Nimeipenda hiyo je unaweza kunielekeza ni wapi kanunua?
Arvin sloane said: mi rafiki yangu kanunua mil. 8 Rav 4 L. ya mwaka 2000 milango mitano. Click to expand... Nimeipenda hiyo je unaweza kunielekeza ni wapi kanunua?
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,881 May 8, 2012 #13 Mlachake said: unatupia 24 kwenye gari wakati ni mtaji wa kuzalisha over 200k a day? Click to expand... Mkuu hebu nipe hayo maujanja ya kumake 200K PER DAY KWA MTAJI WA 24M
Mlachake said: unatupia 24 kwenye gari wakati ni mtaji wa kuzalisha over 200k a day? Click to expand... Mkuu hebu nipe hayo maujanja ya kumake 200K PER DAY KWA MTAJI WA 24M