Kununua EFD machine kwa mkopo

EFD machine hazina inshu watu wanachukua kitambulisho cha mmachinga shughuri imeisha
 
Wajameni
Eti Wapi/agent gani DSM mtu anaweza kuchukua EFD machine na akawa analipa taratibu?

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu wa kuchukua mashine ya EFD kisha ulipe kidogokidogo sina uhakika kama utapata agent wa hivyo.

Utaratibu niliopata kuushuhudia ni wa kulipa kidogo kidogo then ukifikisha kiwango stahiki unakusanya risiti zako za malipo unaenda kwa ajent mliekubaliana anakupa mashine

Anyway, penye nia pana njia. Jaribu kwa maajenti. Anzia pale TRA Lumumba/Kipata juu ghorofa ya 3 nadhani kuna maajent wengi wa makampuni mbalimbali ya kuuza mashine hizo kaulizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…