silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,161
- 1,540
wadau mm nna miaka 30. leo kwa mara ya kwanza nimetolewa jino moja, lilikua lishaoza.
hili jino lilikua linaniuma muda mrefu nyuma. Lakini kwa ujinga wangu nikawa napuuzia kwenda kwa dentist. nlikua likiniuma nalisugua kwa nguvu kwa mswaki. Kumbe nilikua nafanya kosa kubwa.
Leo kwenda kwa Doctor kalitolea mbalini without further notice. Sasa kwanza naomba kuwanasihi ndugu zangu tusidharau mambo kama haya. Inatakiwa tuhudhurie klinik ya meno kila baada ya miezi sita. Jambo la pili naomba wanaofahamu wanipe dos and donts za mtu aliyeng'oa jino. Nawasilisha kwa heshima.