Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa.
Waulize walitoa tamko gani aliposhambuliwa Padre Kitima na vikosi vya Samia na TISS?

Alafu waambie hao ccm na TISS wapumbavu kuwa Kanisa Katoliki sio sawa na Mwamposa. Wanachokitafuta watakipata soon.
 
Njooni huku muone Waktoliki wanaovaa vijora :ABDULpls:

-----------------
Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa.

Malofa hao wa CCM wako kwenye payroll ya ABDUL.
 
Vatican wenyewe wajanja wanajua kwamba serikali ilifanya mauaji ya halaiki.. Wale ni wasomi, wale wapo mbele ya muda wanajua kwamba hao wa watu mia wamenunuliwa na serikali ili kuficha uovu wa serikali na kujisafisha..Tatizo ni mauaji ya kimbari sio viongozi wa katoliki Tanzania..
 
Hakuna walinzi wawafukuze hao wahuni wafiasi wa shetani, sawa na yule aliyetaka kumjaribu Bwana wetualipoamua kugungakwa siku arobaini?

Kama ni kweli, basi hao wahuni tu, siyo wakatoliki. Huwi mkatoliki kwa kupiga kelele kuwa wewe ni mkatoliki. Hakuna mkatoliki wa hivyo. Hao watakuwa ni vibaka tu.
 
Back
Top Bottom