Kunasa mmbea kwa kutumia iPhone

Hivi kuna mtu anaifahamu iPhone 100%? Dah sawa nimeona comment zenyu lkn wengine ni kama morons tu vile mnakejeli, mara iphone new user n bla bla.

Kwa vile hii kitu ni technology, no need ya kumcriticise mtu hata kdg. Hii inaweza katisha tamaa mtu anaefeel kushare kitu ambacho yeye aona ni kipya kwake. Afu mburulaz ndio wanakuwaga na kelele sana
 
Most of smartphone zina hii makitu screenshot
Sielewi umbea umeingiaje hapo
 
sina maana ya kuku crash au whatever..ila mbona hii ni design kitambo sana iphone inafanya hivyo..na hata s3 pia mana nilikua namringishiaga mwana mmoja akanilipa kwa s3 yake pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…