M MWENZAJE New Member Joined Jan 3, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Jan 4, 2015 #1 Wadau mwenzenu huwa naogopa na kusikitishwa sana comments mbalimbali kuhusiana na suala zima la ndoa,maana inaonyesha bayana kwamba kuoa au kuolewa ni kujitakia matatizo,Je wewe umejifunza nini kuhusu ndoa?
Wadau mwenzenu huwa naogopa na kusikitishwa sana comments mbalimbali kuhusiana na suala zima la ndoa,maana inaonyesha bayana kwamba kuoa au kuolewa ni kujitakia matatizo,Je wewe umejifunza nini kuhusu ndoa?
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jan 4, 2015 #2 Hivi unajua maana ya ndoa....??? Ulishapata mafunzo ya ndoa??? Ukipata ushauri changanya na akili zako....
Hivi unajua maana ya ndoa....??? Ulishapata mafunzo ya ndoa??? Ukipata ushauri changanya na akili zako....