Mbona namimi nimeitwa hapo KOMAKOMA na kampuni ya KATAVI MINING CO, ila sijahudhuria kulingana na logisitics kutokwenda vizuri.Hebu BABU NDENDE NILIJULISHE KILICHOTOKEA
Guys hata mimi nimeitwa ni Kampuni ya Waturuki na ilifanyika mwananyamala komakoma na ilikua tarehe 24Dec ila jamaa wanalalia saaaaaaaaaaaaaaaaana mana kwa kazi za mgodi mshahara walotaja ni tofaut na Migod mingi9ne kwa kazi nloomba ya Quality control and assurance