Kuna watu walizoea kubebwa!

Tetete nyalandu aliwaambia wananchi jimboni,alipoenda kufanya sherehe eti za kuwa mbunge for 15yrs,eti anaenda kugombea urais wampe kura.
 
kuna yule mbunge wa Geita alikuwa anajitapa na kuwaambia watu wa geita eti atakuwa waziri wa nishati na madini,wengi wao walidhani mbeleko itaendelea kuwepo
 
JIULIZE MPAKA LEO KASHATEUA WABUNGE wa kuteuliwa 6 KATI YA 10, kwa kukosa WABUNGE WA CCM wenye sifa, je ikitokea kufukuza waziri 7 kazi, atapata wapi wengne au ndo itakuwa bora liende? MAANA RESERVE INAKARIBIA KUISHA wamebaki 4 tu!
 
mkuu hiyo paragraph yako ya mwisho sioni kama ni nzuri. usisababishe watu wakaanza kuhisi wanabaguliwa. nakuhakikishia huyo magufuli hataiweza hii nchi. kama unaakili usingeyaingiza hayo mambo humu. fanya shughuli zako kujitafutia kipato mkono uende kinywani na sio kuleta uchochezi humu.

Mmemsahau Hawa Abdulrahmani Ghasia, nae chali ndembendembe kifo cha mende uminisiteri!
 
kuna yule mbunge wa Geita alikuwa anajitapa na kuwaambia watu wa geita eti atakuwa waziri wa nishati na madini,wengi wao walidhani mbeleko itaendelea kuwepo

Hata mi nlijua Coster atadaka uwazir maana zile tambo!! Mh
 
Huyu Dr. Kamala ndio kachemka kabisaa!
 
Mmemsahau Hawa Abdulrahmani Ghasia, nae chali ndembendembe kifo cha mende uminisiteri!

Amshukuru DHAIFU kwa kumpa miaka kumi ya ulaji kwani huyu mama alikuwa hafai hata kwa bure!!!
 
Kamala aliacha Ubalozi huko Ubelgiji
akidhani atapata uwaziri.. Hahahahaa. Imekula kwake.
 
Ubalozi hauna fedha ndefu. Unaishi kwa bajeti finyu tuu na pesa ya madurufu ya visa na kama ndio umepangiwa msumbiji au burundi imekula kwako labda uwe smuggler

Naona Mkuu umesahau yaliyotokea Rome wakati wa Mkapa! Prof. Mahalu alivuta 3 billion na kesi likawagaraza
 
Amshukuru DHAIFU kwa kumpa miaka kumi ya ulaji kwani huyu mama alikuwa hafai hata kwa bure!!!

Yule mama uwezo wake ulikuwa mdogo sana midomo inaonekana mizito sana ile! Huyo mama ni liability hata kuwa naye kama mke wako!
 
Naona Mkuu umesahau yaliyotokea Rome wakati wa Mkapa! Prof. Mahalu alivuta 3 billion na kesi likawagaraza

Sio kwa dunia ya sasa EU yenyewe haina pesa za kumpa Greece. Sasa hiyo kazi ni posho na conferences tuu. Enzi ya mzee Mkapa fedha ilikuwapo. Though unaweza kuwa broker wa investors refer to balozi wa tz southafriva wa wakati ule kila kwenye board member alikuwamo mpaka dstv.
 
Unamuongelea balozi Ami Mpungwe, kila mwekezaji wa south Africa yeye ndo alikuwa mjumbe wa bodi au msemaji wake! Kwani balozi zetu zinategemea misaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…