Kuna watu wabishi duniani

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852


This "nail house" sits in the middle of a road under construction in the Guangxi Zhuang Autonomous Region. Picture taken in 2015.




An elderly couple refused to allow their house to be demolished, so it’s now only building left standing the road paved through their village in the Zhejiang province. Picture taken in 2012.


 
Huu ubishi ndo wenyewe
hiyopicha ya ghorofa katkati ya barabara niliwahi kuitazama kwenye TV
ni kweli kabisa jamaa wamegoma.....
 
Ingekuwa bongo hiyo nyumba ingekuwa chini tayari na gharama za kubomolea unalipa...
 
Hapo nawaza ikija scania yenye mzingo mzito ikakatika break hakika sijui nini kitafuata
 
Mmmhhh cyo bure mzizi utakuwa ulifanya kazi kuwapunza watu ili wasibomoe hzo nymba
 
Usikute lile tangazo la nyati cement lili husika
 
Kisa cha kukaa ndan na presha za makelele ya magari ndo nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…