Kuna watu tunaimani na mwanahalisi kuliko hata serikali yetu

kiongozi wa chadema anamiliki mwanahalisi.......hebu funguka mkuu,,,
 
hapo kwenye red....panaonesha tatizo lenu mnaotumiwa km t.paper na mafisadi kutoka DHAIFU
 
mtu anae simama kwenye ukweli,jasiri na mzalendo kwanini asiaminike.Kubenea na timu nzima ya Halisi publishers wanastahili tunzo ya ushujaa
 
binafsi naungana na wewe katika hili kwa takribani 98%. ila usiwashangae wenye maoni ya kuponda huwa hawakosi. hivi, kama anayesoma hii thread ni Jack Zoka au Ramadhani Ighondu au ndugu zao wa karibu, unategemea watakubaliana na wewe????? hata mtoto wa jambazi huwa anathamini kazi ya baba yake japo ni haramu. binadamu kiumbe wa ajabu sana. mwanahalisi wameweka kila kitu hadharani, bado anakuja mtu anasema uzushi, ukimwambia athibitishe uzushi kwa hoja au aende mahakamani kama ni uzushi, anaanza kuumauma vidole kama binti anatongozwa na pengine hata kukutukana matusi!!!!!! duh!! Binadamu!!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…