Kuna watu makauzu ila huyu ana phd!!!

Arabian queen

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
2,557
4,824
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!

Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye……
Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.
"Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka… sorry bae sitaweza kuja kwa leo… sooo sorry!"
Mshkaji jiii! hajajibu kitu…..

Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya binti, akajua mchizi kajibu. Mh! kutazama ni meseji kutoka Mpesa.

"CA90F0511 IMETHIBITISHWA Tshs 5000 ILIYOTUMWA KIMAKOSA KATIKA ACCOUNT YAKO IMETOLEWA SALIO LAKO NI Tshs 5"

Halafu ndo ikaingia meseji ya mshkaji.
"BASI POA SIKU NYINGINE KAMA VIPI"

[HASHTAG]#dada[/HASHTAG] wa watu mashavu yakamshuka… hakuamini kilichotokea…. yaani jamaa keshawapigia Voda na pesa fasta imezuiliwa……
JAMANI WADADA kama una nia ya kupiga kirungu uwe unatoa pesa kwanza ndo unatoa excuse… kuna watu wamevurugwa!!!
 
Niliwahi kufanyiwa hivi na dem flani hivi anakaa Mabibo... Nimemtumia buku kumi na tano akazingua kuja... Bahati nzuri uvumilivu wangu ulilipa maana nilikuja kula mdogo wake...
Aloo mitaa yangu hyo usikute demu wetu sote.Ila mi hakuna kitu kigumu kwangu kama kumtumia mtu hela.ela yangu inakabidhiwa mkononi,huna nauli panda bajaji,pikipiki,uber hata brekidauni ukiweza ukifika namlipa mwenyewe
 
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!

Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye……
Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.
"Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka… sorry bae sitaweza kuja kwa leo… sooo sorry!"
Mshkaji jiii! hajajibu kitu…..

Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya binti, akajua mchizi kajibu. Mh! kutazama ni meseji kutoka Mpesa.

"CA90F0511 IMETHIBITISHWA Tshs 5000 ILIYOTUMWA KIMAKOSA KATIKA ACCOUNT YAKO IMETOLEWA SALIO LAKO NI Tshs 5"

Halafu ndo ikaingia meseji ya mshkaji.
"BASI POA SIKU NYINGINE KAMA VIPI"

[HASHTAG]#dada[/HASHTAG] wa watu mashavu yakamshuka… hakuamini kilichotokea…. yaani jamaa keshawapigia Voda na pesa fasta imezuiliwa……
JAMANI WADADA kama una nia ya kupiga kirungu uwe unatoa pesa kwanza ndo unatoa excuse… kuna watu wamevurugwa!!!
huu sio utani mimi mara nyingi sana nimeshazuia pesa baada ya demu kunizingua
 
Me Sio mbali kufanyiwa hivyo...nijuzi tu mlikutana na ex wangu flan, nikaomba Namba Akajibu Hana salio lakunibip, fasta nikampa buku 5.

Tukaongea vzr kuhusu meeting, tulipoachana tu usiku akanitext"sorry BOMBAY cwez kumeet naww coz nimepata safari ya ghafla. Nikampoteza tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom