Kuna wasichana mizigo pia

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,173
Wanawake wengi wanaonekana warembo uwanjani hamna kitu kabisa, ndio maana utakuta mwanamke mzuri lakini haolewi yupo tu nyumbani anazeekea home kila mchezaji anayemsajiri akicheza mechi moja anahama timu.

Wengi wao hawajishughurishi kabisa kutafuta mipira uwanjani, ukiwauliza utasikia nimechoka wale ambao wasio warembo wakiwa uwanjani wanatafuta mipira balaa kama pogba.

Mpaka unatamani muda wote gemu liwe linachezwa na hupendi kuondoka, kweli nimeamini mwanamke haolewi kwa ajiri ya urembo wake bali kwa ajiri ya ubunifu wake katika kazi za ndani ukijituma ktk kazi huwezi kuozea na kuzeekea kwenu.
 
Mh,umelala na uyo mtu nini. Angalia mambo mengine cyo kuangalia kitu kimoja tuu watu wanatafuta mke wa kufanya maisha hayo mengine atamfundisha taratibu
 
Sijui wabongo ni porn zinatuharibu..naona kama watu wanaona kulambana ni vita..mtu anataka mkikutana siku ya kwanza basi inakuwa vita..lkn pia nawasiwasi wabongo hatujui kwamba ukimpenda mtu(true live)..hata makamuzi utaona anajua na utaridhika..but sisi tunakimbilia kwenye makamuzi alafu love baadae..
 

Natamani wakuelewe katika hili.....
 
sasa si umchkue umfundishe huko kutafta mpira unakotaka? Hata uwanjani kuna wachezaji ambao ni maarufulakn huwa hawatafti mpira,wanasubir tu kuletewa lakn balaa lao ni kali wanafumania nyavu kuliko hata wanaotafta mpira
 
Hicho alichoongea mshikaji ndiyo cha msingi kwenye ndoa na mengine ndiyo hufuata.
Mh,umelala na uyo mtu nini. Angalia mambo mengine cyo kuangalia kitu kimoja tuu watu wanatafuta mke wa kufanya maisha hayo mengine atamfundisha taratibu
 
Natamani wakuelewe katika hili.....
Yaani sister..naona watu wanatenganisha sex na upendo wa dhati na kumkubali mtu..kama mtu humpendi na kumkubali hata mchezo unaenda kwa mazoea tu..
 
Kula ujana kwanza ukishaelewa lengo stahiki utatulia na kupata anayefaa kujenga familia.
 
Yaani sister..naona watu wanatenganisha sex na upendo wa dhati na kumkubali mtu..kama mtu humpendi na kumkubali hata mchezo unaenda kwa mazoea tu..

Ndiyo shida iliyopo sasa.......yani hali ni mbaya kwa kweli.....nadhani twahitaji elimu juu ya swala hili.....
 

Hapana si kweli kabisa kumbuka huoi supermarket kwamba utapata kila kitu humo kila mmoja ana mapungufu yake hawezi kukamilika kila idara kama na we we nawe ulivyo na mapungufu ! Cha muhimu jikubali na kubali mapungufu yake na jaribu kuyarekebisha mtaishi kwa amani
 
usiishie kulalama tu..wafundishe a.k.a waelekeze unavotaka wakufanyie kama ni kukatika waambie haya katikaah!! enhe kua kama unainyanyuaa kwa ju,, hapo zungushaaah... fanya ivii fanya vileee elekezeaa hukuu au kuleee mwanzo wataona shida but as days goes watakua mafundi na mtaenjoy tu!!
 
Usifikiri ndoa ni mambo hayo tu? Unaweza kupata mchezaji mzuri uwanjani lakini katika ishu nyingine ni ovyo kabisa.
 
Watu wanachukulia ndoa poa. eti ndoa<sex. inachekesha.
 
Whatever you feel you most need is not what i need most.

Hata wachezaji wana development stages za kukuza vipaji na kuzoea mazingira ya timu mpya...kabla ya usajili scouts humfatilia kwa ukamilifu,na asajiliwapo hupewa nafasi ya msimu mzima huku akisaidiwa kimazoezi na kisaikolojia ku-reach the pecking order.

Siamini kuwa kuna mtu mzigo,bali ni tafsiri binafsi...kwako mzigo,kwangu kito.
 
Uuuuuuiiiiiiii, kizazi cha nyoka !!!!!! Hebu fikiria una mwanamke mzuri kitandani lakini hawaheshemu ndugu zako halafu ni mchepukaji. Kumbuka mke wa ndoa ni zaidi ya kitandani kama vile kulea watoto vizuri, mshauri wako katika maendeleo, mpangaji mzuri wa matumizi ya ndani, kuheshimu ndugu na marafiki na mengine mengi ya namana hiyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…