iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
- Thread starter
-
- #61
Sijui wewe ni dini gani, lakini kulinganisha sadaka ya Yesu msalabani na wanawake wasiojiheshimu si sawa!
We unakubaliwa tu, hushtuki bado?
Usipende kufunua tupu za
wanawake ovyo, nyingine zina nuksi, wanakuachia! Wengine wanachukua
nyota zako, unakuwa wa ivyo ivyo tu, unaona wenzako wanaprosper wewe upo
palepale!
Akiomba, eti ombaomba, akibaka m'bakaji, akiachana na nyie, mna mashaka na nguvu zake, .... Afanye lipi??
angalia kauli yako !!!Kwamba
wewe kwani mwenyewe hujioni unavyojicommmentunamwambia nani ss?
We hujui tabia ya ma vempire yanapenda harufu tofauti tofauti ya K
Waliokukubalia ni hao hao tuuu wengine wagumu mpaka utoe cheki
kulikua na umuhimu wa kumtumia Yesu kama mfano wa uliyoyasema?
Usipende kufunua tupu za wanawake ovyo, nyingine zina nuksi, wanakuachia! Wengine wanachukua nyota zako, unakuwa wa ivyo ivyo tu, unaona wenzako wanaprosper wewe upo palepale!
wewe kwani mwenyewe hujioni unavyojicommment
Mkuu hata ukiomba kwa mungu lazima uangalie mazingira ukijichanganya tu kazi bure nipo saizi job nimetest kuimbisha mfanyakazi mwenzangu nimekubaliwa yaani wanawake ni pasua kichwa[/QUOTE]
Kwa hiyo huyo mfanyakazi mwenzio anatosha kuwakilisha wanawake?
Wewe na yeye nyote wale wale kasoro majina tu
Udini unao ndio maana unaongea