iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Acha umatonya Mkuu! Wenzio tunaomba kwa Mwenyezi Mungu we unaomba wanawake .......
nawewe umezidi kuomba omba.
Sijazidi mkuuu kuwa ombaomba ila yeye ndio kaanza eti ananitania baby lini unanitoa out wakati anajua ninamke kabisa kama yeye ndio hana akili nimemwambia alipie ghalama za out
Sijazidi mkuuu kuwa
ombaomba ila yeye ndio kaanza eti ananitania baby lini unanitoa out
wakati anajua ninamke kabisa kama yeye ndio hana akili nimemwambia
alipie ghalama za out
umemjengea mazoea mpaka anaweza kukutamkia hayo.
Sijazidi mkuuu kuwa
ombaomba ila yeye ndio kaanza eti ananitania baby lini unanitoa out
wakati anajua ninamke kabisa kama yeye ndio hana akili nimemwambia
alipie ghalama za out
Nimepotea njia hapa!
Nipo kuzimu au?
Sasa yeye anatatizo gani, ungekaa kimya akakupa ndo ungelalama...Yaani kuna wanawake hawakatai ukiomba tu hata ulikuwa unajaribu utasikia tu unaambiwa ni wewe tu na akija tena mwingine anakubaliwa hawariziki miili yao walishaitoa sadaka kama yesu msalabani