Kuna wakati nilikata tamaa na CCM

Me? Hahahahah it seems like you got a hole in your head.
Be straight instead of throwing shade at him, because we all know he's the one...(heist)
No thanks
 
Sio mtawala?
Huyo kiongozi wako ni dictator.
 
Mmmh sasa mbona teuzi zimejaa, subiri nafasi za kusimamia uchaguzi
 
Tuache unafiki hili ndio jembe tulikuwa tunataka.
Naungana na mtoa mada ccm awamu za nyuma tuliichukia sana sababu ya upigaji na ndio maana wapinzani walipata majimbo ya ubunge sababu ya hasira zetu.
Liacheni jembe lilime.
Povu zenu ruksa maana mtazitema na kula wenyewe.
 
Anatakiwa asifie afanye vituko vya ajabu hadi watoto wadogo wamshangae.
Ajidhalilishe kila kona, hapo ndo atapata nafasi.


Hannah hufai wewe hahahahhaa hii nchi ina majuha sana jamanπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesema ukweli ila kuna watu wakija humu watafanya uzi uondolewe
 
Hahahahaha haya bana
Anatakiwa asifie afanye vituko vya ajabu hadi watoto wadogo wamshangae.
Ajidhalilishe kila kona, hapo ndo atapata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…