Kuna wadada wanajua game, nawaelewa sana wanaohonga nyumba

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,526
Tuacheni masikhara.. kuna wanawake akikupa hata kwa bahati mbaya,,, lazima urudi tu.

hata kama ulikuwa mzee wa kupita na kutembea lazima urudi tu.

Kuna mdada mwaka desh desh alikuwa cashier anafanya kazi kituo cha mwendokasi desh desh. Nilichokuwa nakitumia sana nikitoka job. tulijikuta nafsi zimeguswa tupeane game ya kirafiki. Kiukweli sitausahau ule usiku. Kwa heshima ya kuolewa kwake tulikubaliana mapenzi yaishe ila sitamsahau japo mapenzi sio game peke yake ila kuna watu kwa kigezo cha game wanatisha sana.
 
iyo game ilikuwaje kwa mfano please:D😆😁

game ya kiukubwa tu.. unaona kabisa wanawake wengine uliowai kutana nao walikuwa wanacheza tu kwenye game

acha tu.. ndio mwanamke pekee niliwahi mpa milioni moja na nusu tena hiyo nusu ni ya kukopa.. na hela haikuniuma kabisa..na hapo tumeshaachana.. na najijua ni mbahili sana... ila ningekuwa kama mengi.. nina imani ghorofa la machame lile kama engeliomba ningempa
 
mmmmh! hatar

tuacheni masikhara.. kuna wanawake akikupa hata kwa bahati mbaya,,, lazima urudi tu.

hata kama ulikuwa mzee wa kupita na kutembea lazima urudi tu.

kuna mdada mwaka ............ alikuwa cashier anafanya kazi kituo cha mwendokasi ............. nilichokuwa nakitumia sana nikitoka job ... tulijukuta nafsi zimeguswa tupeane game ya kirafiki.. kiukweli sitausahau ule usiku. kwa heshima ya kuolewa kwake tulikubaliana mapenzi yaishe.. ila sitamsahau.. japo mapenz sio game peke yake,,,,, ila kuna watu kwa kigezo cha game wanatisha sana
alikua anakata sana mauno au
 
kwa heshima ya kuolewa kwake tulikubaliana mapenzi yaishe
Kumbuka hata wewe Ukioa au kama umeoa au una GF jua basi mkeo/GF pia huenda anafanya kama huyo dada alivyofanya kwako... Na Pia huyo jamaa atakuwa anasimulia umma kama wewe unavyotusimulia hapa...

Yani kwa kifupi mchana anakuwa Game changer kwa jamaa, halafu usiku anakuwa mke wako au GF wako

Nilikuwa nakukumbusha tuu
 
mimi nikipoteza hela naumia sana kuliko nikigongewa mwanamke... mwanamke ambaye sijawai mkuta bikira najua kabisa sio wangu peke yangu... kama amenikubali mimi anaweza mkubali mwengine pia
 
Kumbuka hata wewe Ukioa au kama umeoa au una GF jua basi mkeo/GF pia huenda anafanya kama huyo dada alivyofanya kwako... Na Pia huyo jamaa atakuwa anasimulia umma kama wewe unavyotusimulia hapa...

Yani kwa kifupi mchana anakuwa Game changer kwa jamaa, halafu usiku anakuwa mke wako au GF wako

Nilikuwa nakukumbusha tuu
Nyinyi mnaokimbikia sijui hata wako nao itakuwa sijui hivyo mara kizazi chako embu kuweni na utimamu kidogo we jua wewe usifanye jua mwenzio atafanya hata kizazi chako kitakuwa na maisha yake kitachagua watakacho kikuta
 
Nilitaka kukuonesha maisha upande wa pili....
 
Kuna mzee mmoja hakuwai kunywa pombe yeye wala mkewe hata kwa bahati mbaya ila watoto sasa wanagida kama wanakufa kesho wazee wanajiuliza hawa wamelisi wapi?
Hayo ni masula ya kizazi na kizazi...
 
Haya wadada anaejua game kuna milioni na nusu inatoka...unaweza hata kupewa nyumba...
 
Nakataa hili swala maana dem nlonae saivi ni fundi mkuu lakini hela simpi.

Kuna ex wangu mmoja nilimpenda kweli, wala hakuwa fundi lakini ndo aliekula hela zangu
Tuacheni masikhara.. kuna wanawake akikupa hata kwa bahati mbaya,,, lazima urudi tu.

hata kama ulikuwa mzee wa kupita na kutembea lazima urudi tu.

Kuna mdada mwaka alikuwa cashier anafanya kazi kituo cha mwendokasi. Nilichokuwa nakitumia sana nikitoka job. tulijikuta nafsi zimeguswa tupeane game ya kirafiki. Kiukweli sitausahau ule usiku. Kwa heshima ya kuolewa kwake tulikubaliana mapenzi yaishe ila sitamsahau japo mapenzi sio game peke yake ila kuna watu kwa kigezo cha game wanatisha sana.
 
Nakuelewa sna mkuu, maana hapa nina katoto ka kijaluo naona ni moto wa kuotea mbali

Hadi najikuta siwez kukosa show yke maana matayarisho yk anakulamba kila sehem

Yaan mmmh huyu anatisha
 
Back
Top Bottom