Kuna Vi mwanamke viko Selective!!

hahahaha..hiiiiii....mkuu pole....ila kwa malalamiko hayo unaonekana kabisa sio ka saizi kako mkuu......huyo umri wake unamruhusu kuchagua hivyo...we msubirie akifika ile miaka elekezi...kwa mdomo wake mwenyewe atakuambia, "cha muhimu mapenzi tuu"
Ati miaka elekezi.
 
***** zao.
Wengine wanataka high life na uwe na hela,gari na nyumba wakati baba yake kajenga wakati anastaafu,
wazazi wake hata baskelu hawana,
maza fanta kabisa.
Aisee na nyie mngekuwa mnaoa wanawake kama mama zenu kuanzia maumbo hadi tabia basi ingekuwa vizuri zaidi
 
Sasa jamani wanaume mnaposemaga mnataka kuoa wanawake wenye sura nzuri na makalio makubwa na nyie mnakuwaga nazo hizo sifa au? Khaa
 
Mleta mada naamini uko presentable, huna kitambi wewe ni mrefu hayo maneno ya hako ka dem hayakuhusu au vip?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
punguza hasira mkuu utaua
 
Mpaka sasa kuna taarifa watu 20 wamepoteza fahamu baada ya kusoma hili li uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…