Kuna Vi mwanamke viko Selective!!

Daaaah... Blaza umechafukws
 
Ukicheki kidemu chenyewe kichwani nywele kipilipili kazi kuvaa mawigi balaa ukikiambia una nywele nzuri basi kinajibu kwa mbwembwe (asante)ndio ujiona mzuri hatari. ngozi sasa ugongoni mweusi kisigino mweupe viganja vyeusi aisee
juzi kati nipo town na jamaa angu tunapiga misele nikamuona demu fulani nikahisi namjua nikamuangalia kwa mbali then sikujua ni nani, alivosogea karibu ndo nikamjua, sikumtambua sababu alibadili wigi, aliponifikia akaanza kama kunichana eti nina dharau nimemuangalia afu nikaendelea kwenda,,
 
Katika maisha haya hakuna mtu asiye na preferences, kuna zingine za kipuuzi ila ndio hizo zinazomfanya mtu awe comfortable na afurahie mahusiano. Hata wewe mtoa mada unazo haina sababu ya kumkandia mtu
 
Nimepishana nao huko wanakuja kasi sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…