Kuna Vi mwanamke viko Selective!!

Wanawake leo umeamkiwa sijui mleta mada usiku wakuamkia leo mmefanya nn
 
Fanya mazoezi mkuu punguza kitambi, ongeza juhudi kuzitafuta pesa hutachukia tena hizi kauli na wewe utakuwa selective.
 
hahahaha..hiiiiii....mkuu pole....ila kwa malalamiko hayo unaonekana kabisa sio ka saizi kako mkuu......huyo umri wake unamruhusu kuchagua hivyo...we msubirie akifika ile miaka elekezi...kwa mdomo wake mwenyewe atakuambia, "cha muhimu mapenzi tuu"
 
Ha ha ha kweli mmeamua lakin hii si democrasia jamani mtu anachagua anachotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…