Kuna uwezekano wa modem kuwa wireless?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Wakuu kuna uwezekano wowote modem yako ya internet unayotumia kwenye computer ikakupa wireless internet (Wi-Fi)?,kwamba modem ikiwa kwenye computer basi iwe source ya wireless internet kwa simu au computer nyingine,nikiscan niwe naipata.


Kuna anayejua au kuna uwezekano kama huo?
 
Angalia comment #2 kwenye hii Thread

>>| https://www.jamiiforums.com/tech-ga...jinsi-ya-kutumia-modem-kama-wifi-hotspot.html |<<

Hapo kwenye Red kwenye hiyo comment #2 inajibu swali lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…