Corner stone
Member
- Jan 3, 2020
- 32
- 41
kama ikiwa ya desktop je inakuwajeHiyo hdd ni ya laptop au desktop.
Inawezekana tena kama ni ya laptop ni rahisi zaidi case zake zinauzwa 10000- 15000 tu.
Inawezekana pia ila ubaya wake inakuwa na adaptor kwa ajili ya external power source umeme wa usb hautoshi kuisukumakama ikiwa ya desktop je inakuwaje
hiyo adapter unatakiwa kuinunua pia?Inawezekana pia ila ubaya wake inakuwa na adaptor kwa ajili ya external power source umeme wa usb hautoshi kuisukuma
Unanunua completehiyo adapter unatakiwa kuinunua pia?
Ukinunua enclosure yake unauziwa na hyo adaptor kwa pamoja mara ya mwisho nlinunua pale tegeta ya IDE 15000hiyo adapter unatakiwa kuinunua pia?
hiyo adapter unatakiwa kuinunua pia?
ilkuwa shs ngapUkinunua enclosure yake unauziwa na hyo adaptor kwa pamoja mara ya mwisho nlinunua pale tegeta ya IDE 15000
Ni swala dogo kama kunywa maji chukua hiyo Internal Hard disk yako nenda kwenye duka la vifaa vya computer mwambie akupatie external case ya hard disk then chagua inayofit then itakuwa imeisha hiyoHabari ya wakati huu wana JF,
kwenu wabobezi wa tehama, kuna uwezekano wa kuifanya hard disk ya 4TB ikawa external. Na nini vya kuzingatia wakati wa kufanya mchakato huo wa mabadiliko.
Natanguliza shukrani
Nlinunuaga vyote 15000 ila ni muda... Na ilikuwa ni IDE la kujua wakati waenda nunua ni kama hdd yako ni sata au ideilkuwa shs ngap
SHUKRAN mkuuNlinunuaga vyote 15000 ila ni muda... Na ilikuwa ni IDE la kujua wakati waenda nunua ni kama hdd yako ni sata au ide