Kuna utani unaweza kuvunja ndoa

unene sio mzuri kwa afya
ila kama binadamu kuna maneno ni bora unywe maji yashuke tumboni

1.you have been trapped by what you said, ensnared by the words of your mouth
2.The words of a man's mouth are deep waters
3.A mere word can destroy an empire
mtu kusahau ni ngumu na mbaya zaidi huwezi kurudsha maneno.
 

Dada angu ww laskazon mm usimmaind sana huyo jamaa ninachoona mm hapo ni kwmb huyo kaka hua wanataniana na mkewe ila kwa siku hiyo alipitiwa tu hakucheck mazingira au Kama alicheck hakumfikiria mwenzie kama hatopenda hiyo situation lakini sio kama hampendi ndo maana Mpk leo shemeji analilia kuondoka ila kaka kamzuia!!
 
Utani una mipaka na mazingira. Huwezi kumtania mtu yeyote popote unavyopenda wewe, mnaweza kosana, si mke tu hata rafiki/ndugu, n.k. Huyo wa kwake ulivuka mipaka, haukuwa utani tena bali dhihaka.
 

Kwa raha zao.....
 
Ni kosa kubwa sana,kumulinganisha mke wake mpenzi na mnyama tu wa majini!!!
 
Kwa kweli watuacheeee!!! Na siyo wote wenye kupenda kula wapo vipotabo na wanakula kuliko,wengine ni kina bonge nwepesi.

umeona eh,ila hilo ni tatizo la wanaume wapenda sifa na waropokaji
 
huyo jamaa hana adabu!!kama anataka viportable aende somalia, ethiopia au south sudan! amwache mtoto wa wawatu ale raha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…