Kuna utani unaweza kuvunja ndoa

Sio kila anyeposti ana kitambi kama wewe
Hapa kinachotokea ni roho mbaya uchoyo na kukosa adabu Chakula ni mavi tu Badilisha tabia yako
Sawa ila kitambi ni kula kula tu. Hakuna shaka ke hata me vitambi its a result of over feeding aisee. Wenzetu wanapunguza vitambi kwa kupunguza kufakamia
 

Umenena kweli bhana mtu kuwa bonge sio kwamba ndo anakula sana wengine amani ya nafsi tu inamfanya anenepe
 
Sasa huyo rafiki yako mi nlidhani atafurahi mkewe akisema anaondoka ili ajibebee kipotabo kwa raha zake
 
Dah! hata wangu ni bonge sijawah mtania ila huwa namwabia madhara ya ubonge nikiwa naye tunafanya mazoez ili kupunguza, lazima mtu ajisikie vibaya wengine ni mabonge wa asili hawez pungua hata akiwa na mawazo mia cha msingi ni kupunguza uzito tu!
 
Sasa huyo rafiki yako mi nlidhani atafurahi mkewe akisema anaondoka ili ajibebee kipotabo kwa raha zake
Mabonge watamu wewe, halaf wanaridhika haraka, hawana na makuu ninachowapendea ni wepesi wa kusamehe na kusahau
 
ha ha ha imenichekesha ila sijafurahia kauli ya mshikaji.

Nakumbuka kunajamaa fulani he was school mate alikuwa na uso mwembamba, rangi ya ngozi nyeusi macho nayo ile sehemu nyeupe ya macho nayo yake ni nyeusi nyeusi hivi, macho yametumbukia kwa ndani na hana kidevu na mdomo wake mrefu kiaina..

Yaani ukimwangalia hivi huwezi kurudia lazima ukwepeshe macho na vicheko vikubane...similar to monkey (Mungu anisamehe) jamaa mmoja akamwambia mbona anawaacha ndugu zake wanahangaika huko porini...dah mtiti wa hapo ulikuwa balaa.
 
Mabonge watamu wewe, halaf wanaridhika haraka, hawana na makuu ninachowapendea ni wepesi wa kusamehe na kusahau

Hahahaa....kumbeee ila mi nataka huyo mama H amkazie kabisaa ili atie akili
 

ndo hawa wa miaka 23 wanataka kuoa.. wavulana wanataka kuingia kwenye ndoa
 
Lakini kuna wanawake wanapakia sana jamani khaaa? mtu unanunua chakula ndani cha mwezi, kinakaa wiki na nusu!! huyo ni mke au pipa? halafu anafutuka balaa na magonjwa ya moyo hayoo!!

Hayo masimango sasa mkuu, ulipomuoa hukujua anakula sana? umempenda kubali yote
 

Picha iliyopo kichwani mwangu siku zote juu yako Miss Chagga ni kuwa wewe ni kibonge flani hivi.
Yani mwenye minyama ya uzembe
Ama najidanganya?- Usiniambie kuwa wewe ni kimbaumbau.
 

kuna uropokaji haufai kabisa aisee ni basi tu watu hutofautiana makuzi waliyopitia zamani kwenye jamii/familia zao.
 
Picha iliyopo kichwani mwangu siku zote juu yako Miss Chagga ni kuwa wewe ni kibonge flani hivi.
Yani mwenye minyama ya uzembe
Ama najidanganya?- Usiniambie kuwa wewe ni kimbaumbau.

Siwezi kuwa kimbau mbau
 
Mshenzi wa tabia huyo Rafiki yako,na hana malezi kwao ivi mkeo unaelalanae na kumka nae na nimama wa mtoto wako unawezaje kumwambia pumba kama hizo? afadhali huyo mwanamke mungu kampa subra mpaka sasa yupo anaimba kuondoka lakini yupo,angenikuta Mtanga mie mbona saahizi ningekua Sahare nakula mihogo kwa uonooo...
 
Hivi nyie wanaume wa dot.com mbona wavivu namna hii?? hata kutafauta chakula cha kula mkeo unalalamika. Huko kwa vibanda hasara vyenu mbona vinakula ka mchwa na hamsemi?? hebu komeni ala!
 

Ndoa si kufanya mapenzi tu, ni pamoja na kuvumilia mapungufu ya mwenzako na kuepukana na kauli zisizofaa hasa za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…