Kuna utani unaweza kuvunja ndoa



suala la unene ni janga la taifa....
 
kama ujamalizia hapo..... asingemtania mbele yako badae labda ila na unakulaje mpaka uvimbe vimbe hovyo

Hayo mambo ya kuvimbiriana ni tatizo kwa ke wengi tu, when it comes to joke, busara na kutafuta namna ya kumtania mwenzio ni vyema ingezingatiwa tu due to the fact that MLEMAVU HATANIWI.

Apart from that nnakesi yako. tunasolve vipi sasa?
 
Last weekend kuna dem nilimuita trekta (bahati mbaya)... kamaind had leo haongei na mim
 
Hayo mambo ya kuvimbiriana ni tatizo kwa ke wengi tu, when it comes to joke, busara na kutafuta namna ya kumtania mwenzio ni vyema ingezingatiwa tu due to the fact that MLEMAVU HATANIWI.

Apart from that nnakesi yako. tunasolve vipi sasa?

sasa kwani siku ile hatukumaliza hakuna ulemavu kama unakula kama unaenda kuchinjwa ni shida ndiyo kufananishwa na kiboko
 
Huku ni kukosa maadili katika familia,haiwezekani kumfananisha mkeo ya aina yoyote ile ya mnyama na ni kitendo ambacho hakikubaliki katika jamii.Ukiona mtu kafikia hatua hiyo ni wa kukaa nae mbali kama hashauriki maana ipo siku atakuita hata wewe kwa kukulinganisha na mnyama fulani.
 
Jamaa hampendi mkewe mwambie huyo wife wa mshkaji apitie hapa atapata wanaothamini utu
 
Lakini aisee hawa mabonge wanatandika menyu! Usije kaa naye karibu utastaajabu tu!
Lkini kitandani ni wazuri wanavutia
hata katika nyumba lazima Mama awe amanenepa kuliko kukondeana km dagaa halafu awe na kelele ujue ni mpaka watoto wako watakimbilia jirani kudokoa chakula
Mke mpe heshima yake na kunenepa ni kuridhika hii Dunia ina mwisho usimkarahishe mwenzio
 
Lakini kuna wanawake wanapakia sana jamani khaaa? mtu unanunua chakula ndani cha mwezi, kinakaa wiki na nusu!! huyo ni mke au pipa? halafu anafutuka balaa na magonjwa ya moyo hayoo!!

Mkuu adi chakula unampimia mkeo,vp ukipata ugeni wa ukweni kwa miezi kadhaa?si utauliza lini anaondoka maana chakula kinaisha?
 


Huyo jamaa yako:
1. Ana ghubu
2. Hana adabu na hamweshimu mkewe
3. Atakuwa mchoyo wa chakula
4. Mnyanyasaji





 
Nakuunga mkono

Huyo mwanaume hajitambui kabisa na hana adabu



 

Ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…