kuna upendo hapo??


Kama umeshampa Tunda , Bassiiiiiiiiii! keshapata alichokuwa anataka, Kaa chonjo saa Mbaya hapo! Akili mkichwa!!!
 
"Moyo wakati mwingine huelekea unakoona hakuna interest sana kuliko kule kunakoonesha interest kubwa. (eg. mnapendana 50:50 right, mmoja akakolea akenda 80, its mostly likely mwenzio akashuka to say 20 bila yeye kujua 80/20 rule) na kumbuka ''he who love the most suffers the most, who loves the least controls the other''[/QUOTE]

Yaani Tized umenikosha sanaaaaaaaaaaa!! katika kipande hich hapo juu, yaani ni ukweli kabisaaaaaaaa, Mara nyingi binadamu tunapenda tusipopendwa, sijui kwa nn !! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
 
Pole sana! Mueleze ukweli
 


Amesha uona uchi wako? Ndani ya miezi 3?
 
Kama umeshampa Tunda , Bassiiiiiiiiii! keshapata alichokuwa anataka, Kaa chonjo saa Mbaya hapo! Akili mkichwa!!!

Wanawake mpo cheap sana siku hizi zamani unatongoza miaka 10
 
wanawake mpo cheap sana siku hizi zamani unatongoza miaka 10

asante kwa kashfa mkuu, naona umeamua kutusifia ile mbaya, lakini kumbuka una mama, dada, shangazi hao wooote ni wanawake!! Unaweza kurusha jiwe likampata nduguyo!!!
 

Hayatuhusu.
 
mkuu, kumbuka
'fahari wawili hawakai zizi moja' na
'mvumilvu hula mbivu'
kumbuka huyu dada amesema anampenda sana mshikaji,sa kwa ushauri huu si ndo wataachana kabisa
kitu ambacho na huyo dada hapendi kitokee
 

roney1, did you have to write this here?
Ina maana huniamini? Niko busy mpenzi but nakukumbuka na kukumiss...pliz nielewe!!!
 
Last edited by a moderator:
mapenzi hapo yanaweza kuwapo,isipokuwa labda hiyo ni style yake ya kuishi na wapenzi wake,cha muhimu wewe mueleze kuwa hiyo style wewe huipendi na unapenda kuwa karibu naye,au kuwasiliana naye kila mara,kwani kufanya hivo ndio kuimarisha penzi lenu,lakini miezi mitatu bado haitoshi kujua kama mtu anakupenda au la,ni kipindi kifupi mno kuonbesha hisia zako zote kwa mwanamme,labda mwenzio alikuwa anapita njia tu? halafu wewe unafall kihivo? kuwa imara jiamini na usie mrahisi kihivo.
 
Tatizo letu wanawake tukipenda huwa hatuwezi kuficha mapenzi yetu kwa wapendwa wetu, na haya ndo huwa madhara yake. mimi yameshanikuta, labda jaribu kufanya hivi kama utaweza. 2. futa namba yake ya simu ili hata usiwe unaiona ukamkumbuka 2.Kama kuna vitu ambavyo unadhani ukiviona unaweza kumkumbuka jaribu kuviweka mbali na wewe 3.weka mchuno tena mchuno kweli kweli atakutafuta mwenyewe na akikutafuta kuwa nae kama huna mpango nae ili ajiulize kama mpitaji ataondoka na kama mkaaji atakuwa karibu na wewe mpaka utashangaa. ila pole maana inauma!:confused2:
 
Acha mapenzi ya kwenye simu. Omba kukutana naye muweze kusawazisha mambo. :majani7:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…