Kuna mwenzako hapo ila hajaamua tu kuweka wazi!!!!!
Huyo keshajua wampenda sanaa na kumshobokea ndo maana anakufanyia kusudi aone utamtetemekeaje!!!!!!!
Dawa safari akichuna na wewe chuna!!!!!! Tena mchuno mrefu! Halafu hata akianza kukutafuta we endeleza mchuno kama wiki hivi! Afu mpe visababu vya ajabu ajabu kama vyake!
Hii Migumegume ya siku hizi ukijifanya unaipenda sanaaaa na kuijali mbona itakupasua kichwaaa!:shut-mouth:
Nina boyfriend wangu ambaye ni miezi 3 hivi tangu tuanze mahusiano ninampenda kweli lakini siku hizi amebadilika tuna kama wiki sasa hatuwasiliani vizuri, nikimtumia sms hajibu, nikimpigia hapokei baadae anatoa excuse za ajabu eti alikuwa mbali, hii imejirudia kwa wiki nzima nashindwa kujua kama anafanya hivyo ili nikate tamaa nimuache au hanihitaji ila anashindwa kuniambia,nachanganyikiwa nampenda kwa dhati naombeni ushauri wenu wana jamvi