Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,757 Jul 7, 2018 #1 Habari za weekend waungwana, je kuna ukweli wowote kuwa mwanaume/ wanamke asipofanya mapenzi kwa muda mrefu, siku akifanya atapata chunusi usoni na sehemu za siri? Kwa sehemu za siri zinakuwa zinawasha lakini baadae hupotea?
Habari za weekend waungwana, je kuna ukweli wowote kuwa mwanaume/ wanamke asipofanya mapenzi kwa muda mrefu, siku akifanya atapata chunusi usoni na sehemu za siri? Kwa sehemu za siri zinakuwa zinawasha lakini baadae hupotea?
toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,559 Reaction score 3,215 Jul 7, 2018 #2 Joseverest.... Upo wapi utusaidie kujibu swali hili..
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 861 Reaction score 1,114 Jul 8, 2018 #3 'Siku Nyingi' weka idadi ya hizo siku, mwezi, miezi, mwaka, miaka?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,421 Jul 8, 2018 #4 Masking Agent said: Joseverest.... Upo wapi utusaidie kujibu swali hili.. Click to expand... Hakuna ukweli wowote hapo mkuu
Masking Agent said: Joseverest.... Upo wapi utusaidie kujibu swali hili.. Click to expand... Hakuna ukweli wowote hapo mkuu
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,862 Jul 8, 2018 #6 Uongo mtupu
C choba Senior Member Joined Jul 9, 2012 Posts 117 Reaction score 18 Jul 8, 2018 #7 mimi sijui. jaribu aafu utupe mrejesho.