my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
HATA WAASISI WAMASAI TOBO NI MOJA ILALINAPANULIWA>>>>> nyie matatu ya nini kama hakuna kanuni////Ndiyo wazazi wetu hao..nimetoboa tobo tatu na nashukuru Mama haniulizi chochote ..kuwa na tobo zaidi ya moja hiamaanishi ni tabia chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi tabia ya mtu inaanza kutafsiriwa kwa muonekano wa nje....inategemea na anayekutizama anakutafsiri vipi
Binafsi kutoboa mara tatu natamani lakini naogopa maumivu
Nakazia.Vikuku,
Tattoos ,
Hereni mengi masikion,
Kipini puani,
Kipini kwenye ulimi,lips na jichon,
Kipini kitovuni,
Mashanga mengi kiunoni,
Mapete mengi vidoleni(hii inategemea)
Mi nakuchukulia we ni kahaba mzoefu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati nikiwa mdogo wazazi wangu walinitoboa kla sikio kishimo kimoja. Mimi nimependa kuongeza, nimeenda kuongeza kla sikio vishimo viwili jumla vimekuwa vitatu kla sikio
ndio kuna tatizo, kilichokufanya utoboe utoboe vishimo ndio tatizo lenyeweWakati nikiwa mdogo wazazi wangu walinitoboa kla sikio kishimo kimoja. Mimi nimependa kuongeza, nimeenda kuongeza kla sikio vishimo viwili jumla vimekuwa vitatu kla sikio. Sasa leo mama ameniona nimevaa hereni ameanza kusema kwann nimetoboa? Kwann sikumwambia km natoboa? Ati unatabia za ajabu unaiga tu. Ati nisikuone unavaa hereni kwa hayo mashimo mengine km kuvaa vaa kwa shimo moja tu kla sikio 🙄 namuuliza kwann anasema "ndio nimesema sitaki kukuona unavaa mihereni mingi" nimebaki nashangaa 😨
😨 Kwan kuna tatizo mtu kuvaa hereni nyingi? Hivi kwann wa mama wa kiafrica wanapenda sana kukuza mambo? Ati kwann sikumwambia? km vile sikio lake. Mwili wangu lakn anataka nimpe habari kla ninachofanya kwa mwili wangu.