hapana ps3 haichagui tv mkubwa, ps3 inatumia local cable kama ya ps2 na HDMI, so kama una tv flat unaweza tumia HDMI ambayo ndo clear na unajisikia poa sana kutumia coz HDMI kwa ps3 inaanzia 720p mpaka 1900p xo ts best on flat screen zenye resolution nzurin ukitumia tv yenye 3D hutaona utofauti wowote coz resolution ya ps3 iko fixed unless uiswch in the gaming mode ukiwa unacheza , all in all ps3 haichagui tv mkuu... joe out