Kuna siri gani kwenye rangi ya kijani wakat wa kushuti muvi

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,766
107,356
Hello..
Nimekua najiuliza hilo swali muda mrefu, kwaini directors hua wanatumia rangi ya kijani as backgrounds/www.jamiiforums.com/mobile-gallery/ce7eb8fd1de517c715a5093ea1029390.jpg[/IMG]
826b6b0d41cb9dd02347c1c0d2384153.jpg

Post iwaendee wataalamu wote wa teknolojia. Mods please msiunganishe huu uzi mpaka majibu yapatikane la sivyo tutaonana wabaya.
******mondraymond*****...
 
Sijawahi kuona bongo movie ambayo wametumia green background,weng wao hawajui jinsi ya kuitumia maana ni lazma uwe na knowledge ya 3D ..na pia software zake zinahitaj computer yenye uwezo mkubwa
 
mpaka sasa sijaona alietoa majibu sahihi.kiufupi hyo si background ya kawaida unayodhan wala hyo tecknolojia bongo hawawez kuipata leo ni ghalimn mno,ikitoka wahind wenyewe bollywood bado hawafany movie za hyo teknolojia.aliesema movie zinapoteza ladha nimemshangaa sana,hyo teknolojia inaleta kitu chochote katika uhalisia asilimia mia na haijaanza kutumika Leo, inasave muda,gharama za locations nk we unadhan location ya 1000 bc utaitoa wapi leo hii.ndiomana wabongo unakuta anacheza movie eti dar 1930 alafu unaona majengo ya 2017,nguo,magar nk.hyo ni beyond a technology. ....... waje wataalam hapa wawafafanulie vizur kwann kijan ndio huchange background mi nimechangia tu
 
Si kweli, green screen si kitu cha ajabu, na wala sio expensive. Ni kitendo cha kuweka tu green background then unaitoa kwa kutumia software. Kitu kigumu cha kufanya ni CGI, kuchora hizo environments zinahitaji muda na pesa ndefu, ndiyo maana watanzania hawafanyi, hollywood watu wanatenga hata $100M kwa movie moja, hiyo ni kama Tshs. 200Billion, unaweza kuta hata soko la Tanzania la filamu halijawahi fikia hiyo pesa toka lianzishwe.
 
1. Kijani inasimama vizuri zaidi ya rangi zote. Hata kwenye kupandikiza rangi tofauti juu ya kijani ni rahisi zaidi kuliko rangi nyingine yoyote.

2. Ni rangi ambayo inajichanganya na rangi yoyote vizuri kwenye kufanyia editing kuliko rangi yoyote. (RGB)
 
mpaka sasa sijaona alietoa majibu sahihi.kiufupi hyo si background ya kawaida unayodhan wala hyo tecknolojia bongo hawawez kuipata leo ni ghalimn mno,ikitoka wahind wenyewe bollywood bado hawafany movie za hyo teknolojia.aliesema movie zinapoteza ladha nimemshangaa sana,hyo teknolojia inaleta kitu chochote katika uhalisia asilimia mia na haijaanza kutumika Leo, inasave muda,gharama za locations nk we unadhan location ya 1000 bc utaitoa wapi leo hii.ndiomana wabongo unakuta anacheza movie eti dar 1930 alafu unaona majengo ya 2017,nguo,magar nk.hyo ni beyond a technology. ....... waje wataalam hapa wawafafanulie vizur kwann kijan ndio huchange background mi nimechangia tu
Si kijani tu,hata blue hutumika pia,swala la kupoteza ladha linatokana na kutumia hii teknolojia kwa sehem kubwa ya movie,kias kwamba inakuwa rahis sana kujua kuwa ni kitu cha kubumba,unless uwe unapenda kudanganyika kama mtoto..
 
Rangi yoyote ingeweza kutumika kwa kua wanatumia software kutoa background, kuna concept inaitwa chroma-keying. Kama umetumia software kama Adobe After Effects, Premier e.t.c utakua unaijua, hii concept ni rahisi, unachagua rangi flani, alafu hiyo rangi inafutwa kwa kutumia software, so kama background ni nyeupe, ukichagua nyeupe kwenye software kinachotokea ile rangi nyeupe yote inakua haionekani, unapachika background nyingine. Mtu hatakiwi kuvaa nguo au kitu chochote chenye rangi sawa na rangi ambayo itafutwa kwa sababu hakitoonekana.

Sasa kwa nini mara nyingi wanatumia blue au kijani pekee? Kwanza kwenye RGB (Red, Green, Blue), rangi ya kijani ndiyo ina luminance kubwa kuliko nyingine na reflection (kuakisi), ikifuatiwa na Blue, hii inasaidia sana mwanga wakati wa kufanya film, mwanga ni kitu cha muhimu sana kwenye film making, blue hawatumii sana kwa kua watu muda mwingine hupenda sana kuvaa blue, ni nadra sana kumkuta mtu katupia nguo ya kijani (special case CCM).

Hiyo ndo explanation rahisi zaidi, kuna sababu nyingine deep za kwa nini wanatumia green ila ni mambo ya physics na concept nyingine za computer science jinsi information inavyokua stored camera inavyopiga picha ya rangi tofauti, hayo sitoyaongelea, ambaye yupo interested kuna google.

Hizo backgrounds zinachorwa kwa computer, sasa wanafanyeje ili ziendane hiyo ni mada nyingine, kuna concepts nyingi sana ili kupata perfect image, kwa anayependa mambo ya film making anaweza fuatilia google tu.
 
Si kweli, green screen si kitu cha ajabu, na wala sio expensive. Ni kitendo cha kuweka tu green background then unaitoa kwa kutumia software. Kitu kigumu cha kufanya ni CGI, kuchora hizo environments zinahitaji muda na pesa ndefu, ndiyo maana watanzania hawafanyi, hollywood watu wanatenga hata $100M kwa movie moja, hiyo ni kama Tshs. 200Billion, unaweza kuta hata soko la Tanzania la filamu halijawahi fikia hiyo pesa toka lianzishwe.
Mueleweshe huyo mkuu..
 
Back
Top Bottom