Kuna siri gan imejificha kwnye hili eneo?

Nyox official

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
597
451
wakuu,polen kwa mchaka mchaka wa weeknd,nataka kuulza tu kwa wale wanaopatkana Mwanza-Igoma,kuna siri gani kwnye hii bar mpya iliyofunguliwa juz almarufu kama Taiwan?kwan wao mziki n mpak ngoma tisa,mbaya zaid ipo kwny makaz ya watu yaan full makelele na liveband zao
 
Mwanza si mlimchagua mzee baba mko free kufanya chochote.
 
Back
Top Bottom