kwanin ununue kitu ambacho unahis ni kibovu? kama vp iyo pesa ni bora umpatie msukuma tu ili atutengenezee daraja uku kiyegea
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...kwa kifupi 55% Ni ya wiziHiyo simu ili flashiwa vibaya ndio maana ipo hivo hapo inabidi uingize file upya
Dah...kwa kifupi 55% Ni ya wizi
Sent using Beretta ARX 160