Noma sana mkuu hata dogo naye nilikuwa na mchekie kwa sababu ya issue za chuo. Tanzania haya mambo ya mifumo huwa yanasumbua sana na hapa inaweza solution isipatikane kwa muda mrefu.Ndio kun la shida ila tupeni mda tunatatua..
Hi kutokana na kuzidiwa na server za watoto wa chuo
Kule wapo ma IT washamba washamba badala waachie madogo wa chuo hayo mambo..Noma sana mkuu hata dogo naye nilikuwa na mchekie kwa sababu ya issue za chuo. Tanzania haya mambo ya mifumo huwa yanasumbua sana na hapa inaweza solution isipatikane kwa muda mrefu.
Miezi 5 huo ni upimbi ungewalambisha ka-laki wangekwambia njoo kesho saa 2 asubuhi uchukue kadi yako itakua tayariWANA MFUMO WA HOVYO SANA.NILIPOTEZA KITAMBULISHO NIKAAMBIWA KUPATA HADI NIKAE MIEZI 5.SIJUI KAZI YA COMPYUTA KM BDO TUPO KWENYE UJIMA NAMNA HI
Yaan kanyaboya au sio?Website ya NIDA pamoja na online system yake vipo kama ushahidi tu
kabisa. Bosheni tu.Yaan kanyaboya au sio?
Huu mfimo wao tigo ni mzuri lakini ni mbaya kwa upande mwingineKama una Simcard ya tigo na ulisajilia kwa NIDA yako ni rahisi kupata taarifa zako za NIDA.
Piga menu ya TIGOPESA
1. Chagua namba 6 (jihudumie)
2. Chagua namba 6 tena(huduma kwa wateja)
3. Chagua namba 2 (taarifa zako za usajili)
Utaweka namba yako ya siri na utaona taarifa zako.
Kwenye online system yao kuna ugumu sana kupata hasa ukikosea taarifa ulizojaza awali na wanazozihitaji uzijaze kwasasa.
Hii Nchi michongo kila kona bila channel hufiki popote hao ma IT unaowasanua wamewekwa kwenye channel ya mfumo wakatwmbea nayo mwanangu, unakula sembe dona?Kule wapo ma IT washamba washamba badala waachie madogo wa chuo hayo mambo..
Kutwa wamekazana kukaa kule
mimi nimemaliza chuo muda sanaBodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu washafanya yao wewe tulia tu appeal imeshapita km tangu Juzi na mdogo wako ulikua unajaribu inakwama basi appeal ilikua mwisho jana leo jioni jioni ingiza hizo namba itakubari, hii Nchi michongo mingi usikae kihasara utaumia
Wamewapa kazi wale jamaa ambao hawamalizi kazi ni mwendo wa kuonyesha sampuli tu yaan wao wanachojua ni kutengeneza demo tu basi wanaishia hapo mfumo hauna updates mpya umeganda pale palekabisa. Bosheni tu.
Basi pole sanamimi nimemaliza chuo muda sana
Kwanini ni mbaya?Huu mfimo wao tigo ni mzuri lakini ni mbaya kwa upande mwingine
Mapema sana ukiwa na kishika uchumbaMiezi 5 huo ni upimbi ungewalambisha ka-laki wangekwambia njoo kesho saa 2 asubuhi uchukue kadi yako itakua tayari
Yaan ukiwalambisha hicho kiumatemate na simu zinaanza kupigwa kwa kasi ya ajabu tena ukikaa vizuri ikiwa bahati upande wako ukawahimiza unakitaka leo ukawajazia 50 juu nakwambia hayapiti masaa mawili umekipata kitambulisho chakoMapema sana ukiwa na kishika uchumba
Chaap kwa spidi ya 5GYaan ukiwalambisha hicho kiumatemate na simu zinaanza kupigwa kwa kasi ya ajabu tena ukikaa vizuri ikiwa bahati upande wako ukawahimiza unakitaka leo ukawajazia 50 juu nakwambia hayapiti masaa mawili umekipata kitambulisho chako