goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Pata GB 4 kwa shilingi 2,000/=Moja ya mtandao ulioanza na network ya 4G,lakini kwenye suala la vifurushi umekuwa mtandao usijari wateja wake,mlikuwa na University offers nzuri sana hapo mwanzo lakini kwa sasa mmebana vifurushi vya hizo offers,watu wanakambia sasa hivi ikiongezwa na ushindani wa mitandao ya simu na offer zilizopo,,,,jitahidini kurudisha huduma kama mwanzo watu wamehifadhi line zenu mpaka hapo mtakapojirekebisha,oneni TTCL,Vodacom,Halotel na Airtel walivyo na university offer nzuri...Msikilize wateja wenu ili kuendana na ushindani.
Mkuu hiyo mtandao gani, na inapatikanajePata GB 4 kwa shilingi 2,000/=
ndani ya siku 7.
Achana na university offers.
Ni mtandao wa tigo.Mkuu hiyo mtandao gani, na inapatikanaje
Mkuu hiki kifurushi unapata kwa menyu gani,piah kiscreenshot uweke hapa tukioneNi mtandao wa tigo.
Vifurushi vya wiki,
Intaneti tu.
Acha kuwadanganya wenzio.Jaza ujaziwe kiswahili fasaha kabisa..wao wanakuja na jaza ujazwe slogan ambayo imeleta ukakasi sana kitaani! Nimewakimbia zamani sana..kitu Halotel kwa sasa! karibuni wakuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nimejikuta nacheka kwa nguvu ila we msukuma weweTigo yako iko poa?[emoji23] [emoji23]
Inategemea na mahali ulipo mkuu! Kwani upo wapi? Halotel nina mwaka nayo sasa na sijang'amua hayo matatizo yako unayosema..si wengine staff hah hah stuka wewe mjingaAcha kuwadanganya wenzio.
Halotel kuna nini.?mtandao umekuwa mzito.na MB hazikai.
Nimekusoma poa,Inategemea na mahali ulipo mkuu! Kwani upo wapi? Halotel nina mwaka nayo sasa na sijang'amua hayo matatizo yako unayosema..si wengine staff hah hah stuka wewe mjinga