kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,827 Nov 13, 2018 #1 Stand mpya kuna nini kibaha naona upande wa kupaki mabasi madogo kumefumuliwa wakazi wa kibaha tujuzeni kinacho endelea
Stand mpya kuna nini kibaha naona upande wa kupaki mabasi madogo kumefumuliwa wakazi wa kibaha tujuzeni kinacho endelea
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Nov 13, 2018 #2 Nakaa kusubiri hoja
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,127 Nov 13, 2018 #3 kagombe said: Stand mpya kuna nini kibaha naona upande wa kupaki mabasi madogo kumefumuliwa wakazi wa kibaha tujuzeni kinacho endelea Click to expand... Ujenzi wake ulikuwa chini ya kiwango
kagombe said: Stand mpya kuna nini kibaha naona upande wa kupaki mabasi madogo kumefumuliwa wakazi wa kibaha tujuzeni kinacho endelea Click to expand... Ujenzi wake ulikuwa chini ya kiwango
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,827 Nov 13, 2018 Thread starter #4 sawabho said: Ujenzi wake ulikuwa chini ya kiwango Click to expand... Hapo ndio ninapo choka ile stand iko karibu na wakala wa barabara
sawabho said: Ujenzi wake ulikuwa chini ya kiwango Click to expand... Hapo ndio ninapo choka ile stand iko karibu na wakala wa barabara
K kantalambaz JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 1,878 Reaction score 887 Nov 13, 2018 #5 kagombe said: Hapo ndio ninapo choka ile stand iko karibu na wakala wa barabara Click to expand... Wakala wa barabara anahusikaje?
kagombe said: Hapo ndio ninapo choka ile stand iko karibu na wakala wa barabara Click to expand... Wakala wa barabara anahusikaje?
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,827 Nov 13, 2018 Thread starter #6 Nifahamishe kama hausiki me ninuavyo kwenye miradi inayohusu barabara na yeye anahusika? kantalambaz said: Wakala wa barabara anahusikaje? Click to expand...
Nifahamishe kama hausiki me ninuavyo kwenye miradi inayohusu barabara na yeye anahusika? kantalambaz said: Wakala wa barabara anahusikaje? Click to expand...
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,491 Nov 13, 2018 #7 Madam alisema hawezi kuizindua
Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,125 Nov 13, 2018 #8 Weka na picha basi
K kantalambaz JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 1,878 Reaction score 887 Nov 13, 2018 #9 kagombe said: Nifahamishe kama hausiki me ninuavyo kwenye miradi inayohusu barabara na yeye anahusika? Click to expand... Stand za mabasi hua zipo chini ya SERIKALI za mitaa i.e jiji,manispaa, halmashauri ya mji n.k.
kagombe said: Nifahamishe kama hausiki me ninuavyo kwenye miradi inayohusu barabara na yeye anahusika? Click to expand... Stand za mabasi hua zipo chini ya SERIKALI za mitaa i.e jiji,manispaa, halmashauri ya mji n.k.
Th los proffcnal JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 583 Reaction score 348 Nov 13, 2018 #10 Sijaelewa kitu hapa naona ni bora uandike kila kitu na wengine tuelewe kuliko kuleta habari nusunusu hapa jukwaani.
Sijaelewa kitu hapa naona ni bora uandike kila kitu na wengine tuelewe kuliko kuleta habari nusunusu hapa jukwaani.
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,827 Nov 13, 2018 Thread starter #11 kantalambaz said: Stand za mabasi hua zipo chini ya SERIKALI za mitaa i.e jiji,manispaa, halmashauri ya mji n.k. Click to expand... Mkuu nashukuru kwa kunifamisha?
kantalambaz said: Stand za mabasi hua zipo chini ya SERIKALI za mitaa i.e jiji,manispaa, halmashauri ya mji n.k. Click to expand... Mkuu nashukuru kwa kunifamisha?