Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Salaam Wana Jamvi!
Ni muda mrefu sasa huu Mgogoro wa Viongozi wa Serikali za Mitaa haumaliziki kuhusu Mhuri wa Serikali ya Mtaa nani haswa anayetakiwa kuwa nao kati ya Mtendaji ama Mwenyekiti.
Je ni nini Kimejificha nyuma yake mpaka Rais kuingilia, na nani haswa anapaswa kuwa nao? Na zamani zote ilikuwaje?
Au kuna Jambo la Tofauti katka Mihuri hii?
Naomba Fungukeni hapa wenye Uelewa juu ya Jambo hili.
Ahsanteni.