Nasikia ile staff ya HESLB huwa wanapewa pesa mapema kabisa ila wanachofanya wao ni kwamba wanainvest kwny business zao au wanaiweka tu bank kwa muda flan then inarun shuhuli za ile bank HALAFU faida watakayoipata ndio inakuja kwa students kama mkopo...ni mbinu yao ya muda mrefu tu na ndio maana siku zote mikopo kwa wanafunzi inasumbua sana na haiji kwa wakati