Nimemsikiliza kupitia Tv tokea aanze kuongea karibia lisaa limoja limepita anazungumzia habari ya barabara! Tunajiuliza Magufuli anaomba kazi ya waziri wa ujenzi? Barabara ni muhimu mno lakini inaweza kuwa kipaumbele cha kwanza mpaka unatumia zaid ya lisaa kuongelea?
Tufikirie upya Magufuli sio Presidential material hafai kabisa