Kuna nini KCMC?

Yes yametimia mwisho wa uongozi wa Kidhalimu wa Prof.Shao umetimia.Yupo nje na Taarifa rasmi Kuna Mkurugenzi Mgeni.Pia taarifa za uhakika hatakiwi hata kule Makumira Universuty.Wadau wenye taarifa zaidi tuzilete.Sasa amebaki dhalimu Mmoja Dr.Mark Swai yeye alitoa notisi alitaka kukimbia na sasa amerudi tena kufuta notisi yake.Siku zote Mungu husikia kilio cha wanyonge...nae ataondoka kwa aibu kama mwenzake
 
Prof Shao KCMC itakuwa bora hata morali ya Watumishi ipo juu sasa ..ila kikwazo ni huyu dhalimu Swai aliyebaki..BODI ya KCMC tunaomba mshughulikie suala hili
 
Yes yametimia mwisho wa uongozi wa Kidhalimu wa Prof.Shao umetimia.Yupo nje na Taarifa rasmi Kuna Mkurugenzi Mgeni.Pia taarifa za uhakika hatakiwi hata kule Makumira Universuty.Wadau wenye taarifa zaidi tuzilete.Sasa amebaki dhalimu Mmoja Dr.Mark Swai yeye alitoa notisi alitaka kukimbia na sasa amerudi tena kufuta notisi yake.Siku zote Mungu husikia kilio cha wanyonge...nae ataondoka kwa aibu kama mwenzake
 
Eheeeeeeeeeeeeeeeeee, Serikalini chali..., KKKT chali.....Makubwa...Malasusa tunahitaji kukusikia kwa hili.
 
Wadau wa KCMC tupeni hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO ! maana hali ni tete,kifedha na kiutendaji.
 
Zote hizi ni fitina kwa sababu Profesa Shao aliwabania wengi kufuja mali ya KCMC.
 
Inasikitisha sana hospitali tuliyoitegemea sasa ni danguro kuanzia sasa hata namba yangu ya faili niliyo pewa mwaka 1985 naitupa
 
Mkuu Hana Hoja Huyu na hapa ni jukwaa la siasa mod anzisheni jukwaa la malamiko


Re: Kuna nini KCMC?
By nguvumali
kwako Tankibovu na Nyivonduma nyinyi nyote ni wamoja rejea tarehe yakujiunga nasi jamiiforums,
inawezekana kukawa na tatizo la uendeshaji lakini namna ulivyowasilisha maoni yako ni kama mashambulizi binafsi........Tupe report ya TAKUKURU Iliishia wapi, tueleze je Pro Shao anamalaka yakumuhaishia daktari kwenda rufaa Mbeya ama hospitali nyingine ya rufaa hapa Tz, je Askofu anaweza kuwaziba midomo wafanyakazi wa Wizara ya afya kwa maslahi gani anayowapa ?
I agree! Hata kama kuna matatizo katika utendaji wa KCMC, shambulio kama la kwako ni kosa kisheria linalojulikana kama "slander" au "defamation of character", na linalo potential ya kufuatiliwa kisheria kwa kuwa umezusha tuhuma za uhalifu. Elezea una uthibitisho gani ya kusupport madai yako. Pia, una jibu gani hasa ya yale maswali aliyouliza nguvumali?!?

Unafikiri sentensi kama
By tankibovu

"leo hii KCMC imekuwa makao ya mapepo na wachawi ... mafisadi. ... anainajisi KCMC... Waganga wapiga ramli wanacheza na kuweka tunguli, kisa cheo!"
... zinakuongezea credibility ama zinatufanya tutilie mashaka nia zako na uwezo wako wa kusababu? Leta mada yako kiutu-uzima ili tukuamini. JF siyo "KIU" au "Ijumaa"!
Like


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…