Kuna nini katika kinyesi cha binadamu??

Jarbu kuonja kidogo utatupa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa unalenga nguruwe au kinyesi cha binadam? maana nguruwe ndo umemuongelea sana

kama ulikuwa na nia ya kutufanya tusile nguruwe mkuu ushindwe na ulegee
Yeye kauliza kwanini kinyesi kinaliwa na wanyama aliowataja badala ya wanyama hao kula vinyesi vya wanyama wengine?

Kunanini katika kinyesi cha binadamu? Nadhani ndiyo swali lake la msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea ni kinyesi cha nani mkuu, kama ni cha bashite nguruwe akila lazima afe, ila kama ni cha mtu mwengine anaeza survive

sent using samsung galaxy s8
 
Mbona mikoa wanayoongoza kwa kufuga na kula nguruwe watu wao wako smart sana, na hawana hicho kifafa? Kama utafiti wako huo ungekuwa kweli asilimia 80 ya wakatolic wangeugua kifafa.
 
Serikali inahimiza watu wajenge vyoo bora kumbe kwenu hko bado mnajisaidia vichakaniiii,
 
Nguruwe hali kinyesi cha binadamu. Nguruwe anafugwa, lini atakutana na kinyesi kilicho porini??

Infact, kuku na bata wa kienyeji ndo wanakula hayo mavi na wewe ni mshirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndo hivyo mkuu kwa nini, wasile ya wanyama wengine? Ina maana binadamu ndo ana mfumo dhaifu wa kutofyonza virutubisho vyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa, mfumo wa mmeng'enyo wa chakula wa binadamu ni mdhaifu kulinganisha na wanyama wengine hivyo kupelekea kinyesi cha binadamu kuwa na virutubisho vingi kuliko vilivyochukuliwa na mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…