Mkuu umeongea kisayansi ila nachelea kusema kuwa mleta mada hatakuelewa maana yeye nia yake ni kuonyesha madhara ya kula nyama pendwa ya kitimoto.Kasome sayansi ya darasa la sita juu ya mfumo wa utoaji takamwili. Kinyesi siyo takamwili bali ni mabaki ya chakula ambacho hakikumeng'enywa vyema hivyo bado kina virutubisho vinavyowafaa wanyama wengineo!
Mm mwenyewe sijui kinyesi cha binadamu kina nini maana hata ukikikanyaga lazima uchechemee na hakina miba ni ngoja waje
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey, concern yangu ni kujua kuna sayansi gani behind. This can be researchable question. So if there is a scientific argument that can be very good .Kinyesi cha binadamu kwao ni chakula chenye bacteria wanaowasaidia kumengenya chakula kwenye matumbo yao...
Cc: mahondaw
Aimee nnHizi kampeni dhidi ya nguruwe ili tusimle MSHINDWE na mlegee.
Jamani hapa ni hoja ya kisayansi itolewe, habari za Ku attack watu si sawasawa. Uswahili huu wa personal attack bila kujenga hoja ndo maana watu wanazidi kuwa maskini na washirikina.navutie picha kinyesi cha mtu kama le mutuz...hatari.
Epilepsy inaletwa na cyst wa Taenia solium, ambapo nguruwe ndo host wa minyoo hao. NB. Siyo kila nguruwe na Taenia cyst.Nguruwe haleti epilepsy.. wasabato masalia mtapata tabu sana na kitimoto..Nasema mtapata tabu kwelikweli!
Yah upo sahihi and mtu akila nyama ya nguruwe hata kama ana hao Taenia Solium hapati Epilepsy bali anapata Taeniasis ambao n ugonjwa unaoaffect sanasana mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kusababisha kuharishaEpilepsy inaletwa na cyst wa Taenia solium, ambapo nguruwe ndo host wa minyoo hao. NB. Siyo kila nguruwe na Taenia cyst.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu; hoja yako imesheheni maswali meeengi lakini mm naona hoja ya msingi kwako (Kwa mujibu wa sentensi ya mwisho) "kuna madini lishe gani ktk kinyesi cha binadamu"?Habari wadau,
Kama kichwa kinavohoji, nimekuwa nikijiuliza kinyesi cha mwanadamu kina nini? Mazingira ya vijijini ambapo watu hujisaidia maporini ni kawaida kukuta mbwa au nguruwe wakisaka vinyesi vya binadamu. Binafsi nimeshuhudia Mara nyingi kwa wanyama tajwa yaani kitimoto na mbwa wakifurahia kinyesi. Wataalam wa mifugo Wanasema nguruwe akila kinyesi cha binadamu ni rahisi kupata minyoo aina ya Taenia solium. "Cyst" au mayai ya minyoo hiyo husafiri kwenye mfumo na kutengeneza vipele vyeupe kwenye nyama. Nguruwe ni carrier wa vijidudu hivyo kwa sababu kiafya havimdhuru ila hiyo nyama ni hatari kwa binadamu. Madhara mojawapo ni ugonjwa hatari wa kifafa ambapo katika stage za juu hautibiki.
Baada ya ufafanuzi huo naomba wataalamu waniambie kwa nini hawa wanyama tajwa hula kinyesi cha binadamu na c ya wanyama wengine? Huwezi kumkuta mbwa au nguruwe akila kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, mbwa na wanyama wengineo. Kuna madini lishe gani katika kinyesi cha binadamu?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejitahidi kufafanua kidogo, ila naomba niwatoe watu skepticism au steretypism ya mada yangu wakidhani mm napinga kula nguruwe. Mm lengo langu ni kupata elimu kwa kuwa jukwaa hili ni kubwa ina watu wa cadre nyingi japo na vilaza pia wapo ila poa. Labda kwa kufuta hiyo stereotypical thinking, Leo hii mida ya saa saba lunch yangu nilipata Mbeya, Ilomba ambapo nilikula NGURUWE NA NDIZI, NILI ENJOY SANA NYAMA PENDWA SANA, ILA NATAKA NIJUE HUYU MNYAMA ALIVO MTAMU NA MAISHA YAKE, NA HASA KUNA SAYANSI GANI NYUMA YA HUYU MNYAMA? IS MATTER OF curiosity TU.Mkuu; hoja yako imesheheni maswali meeengi lakini mm naona hoja ya msingi kwako (Kwa mujibu wa sentensi ya mwisho) "kuna madini lishe gani ktk kinyesi cha binadamu"?
Hapo juu #8 umeambiwa sio vyakula vyote alavyo binadamu vinakuwa digested and absorbed. Ili kufahamu kuna madini lishe gani ktk kinyesi (Mavi) ya binadamu na uweze kuthibitisha kisayansi (ukizingatia watu hutofautiana ktkt uwezo wa kusaga chakula tumboni) unahitaji kufanya Research - Digestibility studies kwa kutumia Kjedal method.
Lakini usikae utegemee watu wataacha kula nyama-pendwa ya mdudu yule kwani ile nyama inakaguliwaga na Wataalam na kupitishwa as "Fit for Human Consumption" na kugongwa muhuri wa kuthibitisha - Government Inspected Carcass. Kwa hiyo acha watu watandike kitu roho inapenda aisee.
Kwa ufupi, kinyesi cha binadamu kina kitu kinaitwa Bilirubine & biliverdine inayotokana na nyongo (Bile) na hii ndio inasababisha harufu ya mavi ya binadamu tofauti na mavi ya mnyama mwingine. Kinyesi cha binadamu, hata kabla hujakiona, utajua tu kwamba kuna mavi ya binadamu mahali hapo. Sasa wanyama mbwa na nguruwe huvutiwa na harufu hiyo ambayo kwako ww ni mbaya lakini kwao ni uturi!.(Harufu ya kuvutia).
Lakini pia umetajiwa wanyama wengine ambao nao hula kinyesi cha binadamu. Ingefaa uone kwamba kile ww unadhani ni uchafu; kwa viumbe wengine hiyo ni chakula.(samahani lakini).
Wanakuja mkuu kukujibu mpaka hao uliowaita vilaza ambao wamo humu..mkuu uweke pia na akiba ya maneno Usichukulie poa nyumba ni chooUmejitahidi kufafanua kidogo, ila naomba niwatoe watu skepticism au steretypism ya mada yangu wakidhani mm napinga kula nguruwe. Mm lengo langu ni kupata elimu kwa kuwa jukwaa hili ni kubwa ina watu wa cadre nyingi japo na vilaza pia wapo ila poa. Labda kwa kufuta hiyo stereotypical thinking, Leo hii mida ya saa saba lunch yangu nilipata Mbeya, Ilomba ambapo nilikula NGURUWE NA NDIZI, NILI ENJOY SANA NYAMA PENDWA SANA, ILA NATAKA NIJUE HUYU MNYAMA ALIVO MTAMU NA MAISHA YAKE, NA HASA KUNA SAYANSI GANI NYUMA YA HUYU MNYAMA? IS MATTER OF curiosity TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vilaza wapo tu mbona, unaposoma comments za watu ndo nikagundua hilo, mm huwa na akiba sana ya maneno na sipendi kugeneralize mambo mkuu ila vilaza wapo.Wanakuja mkuu kukujibu mpaka hao uliowaita vilaza ambao wamo humu..mkuu uweke pia na akiba ya maneno Usichukulie poa nyumba ni choo
Sent using Jamii Forums mobile app