Sijakuelewa hapo mkuuJe ni huku tu ndio hakusikiki au ni nchi nzimaa ...hata hvyo hataispo sikika haina noma maana wale jamaa wa CMG wanajiona werevu sanaaa Sent using [URL=http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694 said:Jamii Forums mobile app[/URL]
Wasafi wana kipindi cha kukaa ukasikiliza kweliWalishapoteza mueleko,sikiliza Wasafi FM
Hawako hewani kabisa tangu Jumatatu. Binafsi imebidi niingie TuneIn ambapo nawapata vizuri. Bila kusikia PB, Jahazi na Sports Extra Sikh yangu inakuwa mbaya. Jitahidini Clouds kurudisha huduma mikoani. Washabiki wenu ambao hawawezi kumudu kutumia data wanaumia.huku tulipo tuna zaidi ya mwezi hatuwapati clouds.
Mwanzo Nilijua ni mimi tu ndio na experience hili.Clouds tv hamna saut ni picha tuu, natumia startimes