Kuna mtu siku moja atakuja kuliomba radhi Taifa na chama chake

Kwa nini UKAWA mnachukia kila jema analofanya Raisi!!
Kwakweli msijidanganye, kwasasa huwezi kumshawishi mwananchi wa kawaida kwamba Raisi Magufuli hafai akakuelewa, atakuona wewe Ni fisadi tu ambaye unaisoma namba!![/quo

Mwananchi wa kawaida ndiye yupi huyo. Anafananaje.? Kumbe kuna mwananchi wa kawaida? Haya tutajie na aina nyingine ya wananchi basi
 
Dua la kuku....!

Mwaka mmoja huu ulikuwa siyo wa kufanya siasa bali kunyoosha nchi na kurejesha heshima. Na kweli kweli heshima imerudi na watu tumeheshimiana huku mtaani. Natumaini kuwa steji inayokuja itakuwa ya kugeukia matatizo ya watu na kujiimarisha kisiasa. Haya yakifanyika hakuna atakayeomba msamaha bali atashukuriwa sana sasa na vizazi vijavyo!
 
Back
Top Bottom